LEO NI MIAKA 18 YA KUMBUKUMBU YA MV. BUKOBA TOKA IZAME ZIWA VICTORIA!

Leo imetimia miaka 18 tangu ndugu zetu walipopata ajali na Meli ya MV. Bukoba 21 May 1996, na wengi kupoteza maisha! Ni tukio kubwa lililoua watu wengi nchini na kuacha huzuni kubwa kwa Watanzania.

Comment R.I.P kwao ili waendelee kupumzika kwa amani!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo