KUMBE MASTAA WETU WA BONGO WAKIVAA HIVI WANAPENDEZA...!!! CHEKI PICHA HIZI

Hamida Hassan na Imelda Mtema
 
Mastaa wa filamu wa Bongo Movies juzi walifurika kwenye 'kibao kata'ambayo ni  shughuli ya kumuaga msanii mwenzao, Vanita Omary kilichofanyika kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani Asset Club) jijini Dar.

Katika shughuli hiyo mastaa walionekana kucharuka kwa kucheza huku wengine wakiwa wamelewa chakari tofauti na muonekano wao wawapo mitaani.

Wolper aliongoza wasanii wenzake kwenye kukata mauno na kuchangamsha shughuli nzima ambayo ilifikia tamati saa sita usiku.
    Picha na Hamida Hassan


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo