TGNP MTANDAO YACHAMBUA BAJETI NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI‏

Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana.Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.
Mmoja wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao. Aliyekuwa Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri hao.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.Juu ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.
Juu ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti kwa mrengo wa kijinsia.
IMG_0240
Mada ikiwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao.
TGNP Mtandao ya Chambua Bajeti na Wahariri wa Vyombo vya Habari Juu ni wahariri wakifuatilia mada anuai katika mkutano huo.
Juu ni wahariri wakichangia mada anuai katika mkutano huo.Uwasilishaji mada kwa hisia! Mmoja wa wadau wa TGNP akiendesha mjadala mara baada ya mada kwenye mkutano huo.
Uwasilishaji mada kwa hisia! Mmoja wa wadau wa TGNP akiendesha mjadala mara baada ya mada kwenye mkutano huo.Mkutano wa TGNP na wahariri wa habari kuzungumzia uchambuzi wa bajeti kwa muktadha wa kijinsia. Mkutano wa TGNP na wahariri wa habari kuzungumzia uchambuzi wa bajeti kwa muktadha wa kijinsia.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo