JB ASHINDWA KUZUNGUMZA BAADA YA KUUONA MWILI WA ADAM KUAMBIANA, NI MAJONZI MAKUBWA

3kuambiana 
Kwa sasa kutoka hapa Leaders ni watu mbalimbali wanatoa heshima zao za mwisho wakiwemo waigizaji mbalimbali ambao marehemu Adam Kuambiana aliwahi kufanya nao kazi na wengine ambao hawakuwahi kufanya nae kazi,kwa mujibu wa ratiba iliyotangazwa mazishi yanategemewa kufanyika saa 9 kwenye makaburi ya Kinondoni.

Miongoni mwa watu waliokuwa na simanzi zaidi mpaka wakashindwa kuongea ni Jb hakumalizia kuongea akawa anataka kudondoka chini,
CHANZO: millardayo.com
1kuambiana
9kuambiana
17kuambiana
14kuambiana
11kuambiana
10kuambiana
8kuambiana
6kuambiana
5kuambiana

1kuambiana


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo