HII NI KAULI YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUSHINDA TUZO 7 ZA KILI

Hakika ilikuwa ni kazi ngumu sana lakini kwa uwezo wa mwenyez mungu ametufanyia wepesi na hatimaye kufanikisha... Nawashkuru sanasana Mashabiki zangu wote kwakuwa nyie ndio mlionipa tuzo hizi kupitia kura zenu... Family, uongozi wangu.. bila kuvisahau vyombo vyote vya habari vilivyo fanya kazi zangu zisikike kila kona..Niwashkuru pia wasanii wenzangu, kwakuwa naamini wote walifanya kazi nzuri na ndiomaana wote tukawa pale ila kwakuwa mshindi ni mmoja, ikatokea kuwa bahati yangu.

 

..Ahsanteni sana, cha mwisho nnachoweza kusema tu ni kwamba (Tika! Tika!) yaani (Saba saba) Nomination 7 Tunzo 7...! tuhamieni MTV Awards tuilete Heshima nyumbani sasa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo