skip to main |
skip to sidebar
CHID BENZI AZUNGUMZIA TUKIO LA KUMPIGA MPENZI WAKE WA ZAMANI
Rapper
Chidi Benz aliingia kwenye headlines baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke
ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa sero weekend ya Pasaka
kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa moja maeneo ya flat za Ilala boma.
Kwa mujibu wa Soudy Brown anaemiliki makorokocho.co Mwanaisha alipasuka mdomo na kushonwa nyuzi 18, uso umeumia na kichwa kimevimba.
Ni headline ambayo imetokea sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari
ambapo Chidi Benz sikumsikia kokote isipokua baadae aliandika sentensi
tatu kwenye page yake ya twitter.
1: ‘Napata matatizo kila siku
haimaanishi kama ni mbaya, nooop napata matatizo kila siku iko hivyo
ndio maana hubaki peke yangu, m sorry love’
2. ‘stronng be u do u, eaazzzy’
3. ‘Mpaka historia ivunjwe sio leo, miaka mi5 mfululizo sijui kwanini hawawezi kusahau. no lie’



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi