BASI LA WIBONELA EXPRESS LAPINDUKA HUKO MKOANI SINGIDA, LILIKUWA LINATOKA DAR KWENDA KAHAMA


Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia BLOG HII ni kwamba basi la abiria la WIBONELA EXPRESS lililokuwa linatoka jijini Dar es salaam kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyanga limepinduka jioni hii huko Mkoani Singida.

Taarifa zinasema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.
VIA farajimfinanga.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo