BARABARA MBOVU ZAVURUGA USAFIRI MBAGALA, BASI LA UDA LAKWAMA


UBOVU wa barabara kutokana na mvua umezidi kuleta adha kwa usafiri wa magari jijini Dar es Salaam.  

Leo kamera yetu ilitembelea kitongoji cha Mbagala na kukuta basi la Usafiri Dar es Salaam (UDA)  likiwa limekwama katika shimo na kuwasababishia abiria matatizo.

(PICHA NA HAMIDA HASSAN / GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo