Vijana
hawa wawili walikamatwa kwenye mkutano wa CCM wakigawa vipeperushi vya
Chadema bila wasiwasi ,hata hivyo viongozi wa CCM waliokuwa kwenye
mkutano huo wa kampeni uliofanyika kijiji cha Mkoko kata ya Msata tarehe
24 Machi 2014, waliwaambia tu wanachofanya ni uvunjaji wa utaratibu
hivyo kuwaomba waondoke eneo la mkutano huo na kusubiri zamu ya mkutano
kisha ndio wasambaze vipeperushi vyao.
WAWILI WAKAMATWA MKUTANO WA CCM WAKIGAWA VIPEPERUSHI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
By
Edmo Online
at
Tuesday, April 01, 2014