Pichani
ni baadhi ya akina mama wakiwa wametoka kununua samaki kwenye bandari
ndogo ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo jioni,Akina mama
hao wameeleza kuwa wengi wao wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya
samaki ili kujiingizia kipato katika suala zima la kujikwamua na
umaskini.
Mkazi
wa kijiji cha Kabwe,akiwa amebeba dishi lililosheheni samaki aina ya
Migebuka,anasema kama uonavyo hiyo shehena ya migebuka huuzwa shilingi
30,000/=
Wavuvi wakitia nanga kando kando ya bandari ya Kabwe