Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa
Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita
kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la
Chalinze,Jana Machi 30,2014.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya Sam wa Ukweli akitoa Burudani kwa wananchi wa
Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Shangwe kwa wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange.
Wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange wakifatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni za CCM.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana kwa furaha na wakinamama
wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein
Mwindadi ambaye ni Baba wa Diwani wa Kata ya Mkange.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akitaniana na Mzee Nassor Samnamwanja
wa Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Wakazi
wa Kijiji cha Manda Mazingara wakiwa wameshika mabango ya Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati walipokuwa wakimkaribisha
Kijijini kwao