Katibu
wa Chadema Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje akikabidhi
vitendea kazi vyake na kadi ya Uanachama wa CHADEMA kwa katibu wa CCM
wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu (kushoto ) baada ya kukihama chama
hicho na kujiunga na CCM
Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje akipewa vitendea kazi vya CCM na kadi ya Uanachama baada ya kujiunga na chama chenye umoja na mshikamano, CCM.
Emmanuel Ngwalanje akitoa yake yaliyokuwa moyoni kwa wananchi kabla ya kujiunga na CCM.Kwa hisani ya Habarileo.