Siku ya leo Ney wa Mitego Amesikika
Radio Clouds akiongelea ile habari iliyomake headlines week hii ya
Mchumba wake kuonekana kwenye Video akivalishwa Pete na Jamaa....
Ney
Amesema kuwa hiyo Video ni ya Miaka Miwili iliyopita wakati huo hakuwa
na Siwema na Kabla hajakuwa na Siwema Bi Dada huyo Alimwambia kwahiyo si
kitu kigeni kwake..Yeye anachojua ni kwamba sasa hivi Siwema ni Wake,
huyo aliyeonekana anamvalisha Pete yalishaisha siku nyingi......
So Jamaa
Embu Acheni Kupanic Basi....
