skip to main |
skip to sidebar
MWAKILISHI WA WALIO WACHACHE BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. DAVID KAFULILA ASHANGILIWA NA WENZAKE
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe.David
Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake
Mwakilishi wa walio wachache katika kamati namba tano,Mhe.David
Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada
ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha
na na Deusdedit Moshi
Mwakilishi wa waliowachache katika kamati namba tano,Mhe.David
Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada
ya kuwasilisha mapendekezo yao

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi