
Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu.

Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi

Emmanuel Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kuwa ni majambazi katika eneo la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora.PICHA NA ALOYSON