Magari Mapya aina ya Toyota Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa
Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya kinondoni
Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi ya manispaa ya Kinondoni
Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na Vyombo vya habari Leo mara baada ya kukabidhiwa magari hayo
Meya wa Kinondoni Yussuph Mwenda akikabidhi funguo kwa mmoja wa madereva.
Manispaa
ya Kinondoni imenunua magari kumi (10) hard top na double cabin, Magari
hayo yanayo gharimu kiasi cha Tshs. 779 milioni ikiwa ni mapato ya
chanzo cha ndani ili kuboresha huduma za Mipango miji, elimu, ustawi wa
jamii, afya, mapato pamoja na usimamizi
wa miradi ya maendeleo .
Magari haya yatasaidia sana kuleta maendeleo na
vilevile kukuza mapato ya ndani.
kwa pamoja tunajenga lipa kodi kwa
maendeleo ya Kinondoni (tuulize info@kinondonimc.go.tz)