Muziki huu umewakutanisha watu wawili kufanya kazi ya pamoja ni kutoka
kwa mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Prof. Jay hapa kamshirikisha
Diamond Platnumz,wimbo unaitwa Kipi Sijasikia umetengenezwa studio za
Bongo Records na Producer ni P.funk.
Bonyeza play kusikiliza au bonyeza download ili uweze kudownload