Boy friend wangu yupo masomoni mwaka mzima,nilipozidiwa nkaanza tabia
ya kutoka njee na bosi wa clearing and freight foward then kitabia cha
kutoka na wenye hela kikashika kasi tena sana hapa nilipo najihisi
kutokuwa normal manake ili nijisikie raha na kutosheka I must get
booked, travel at least 30 km and in isolated premise, huko nkifanya
nafika hata mara tatu for single night mpenzi wangu karudi ila
hanifikishi tena, nampenda ila sjui nifanyeje manake tatizo ni pesa na
siyo calories.
Naomba ushauri wako....!!!!
