Kijana
aliyefahamika kwa jina la Emmanuel ambae alikuwa tishio kwa mapenzi ya
jinsia moja lakini sasa hivi ametangaza kuachana kabisa na biashara
hiyo badala yake anataka kumrudia muumba wake kwani tayari ameshaanza
kutubu dhambi zake ili asamehewe, huku akisema kuwa amefanyakazi hiyo
kwa muda sana tangu akiwa na umri mdogo na ameshatembea sana na waume
za watu.
AWILO AJINYONGA NDANI YA NYUMBA YAKE MASASI
32 minutes ago