Mwanafunzi wa darasa la awali katika shule ya Msingi Kimani wilayani Makete mkoani Njombe akiwa darasani akiwaelekeza wenzake anaosoma nao kama mwalimu wake alivyomfundisha
Katika hali ya kawaida wazazi wa mwanafunzi huyu wanategemea mtoto wao siku moja aje kufaulu amalizapo shule ya masingi, lakini huwenda ndoto hiyo ikatoweka kutokana na mazingira, kwani wanafunzi wengi hukata tamaa ya kujibidiisha na masomo pindi wanapokuta eneo la kusomea si la kuridhisha kama ilivyo hapa. (Picha na Furahisha Nundu wa Eddy Blog, Makete)