skip to main |
skip to sidebar
FAHAMU JINSI YA KUMPIGIA KURA MWAKILISHI WA MAISHA PLUS MKOA WA NJOMBE
Ellymathew
Kika ni mwakilishi wa shindano la maisha plus kutoka mkoa wa njombe
ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha Uplands Fm kilichopo mkoani
Njombe kama ni mdau au umewiwa na kuhakikisha kijana wetu kutoka mkoa
wa Njombe anajinyakulia ushindi
....andika MP unaacha nafasi unaandika 08 Kisha tuma kwenda namba +255 689 666 662
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi