Basi la Kampuni ya
Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana
jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha
katika ajali hiyo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi