picha hii si ya tukio lenyewe
Na. Ismael Mohamed:
Watu wawili
wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa
hospitali na kupelekwa Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10
wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo
tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na
kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!..