Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi mpango wa bima
ya afya na maafa wa WESTADI wa mfuko wa Jamii wa NSSF jijini London,
akiwa na Mkurugenzi wa NSSF Dkt RAmadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya mfuko huo Bw. Abubakar Rajabu (kushoto) . Mwenye miwani
kati ni Bw. Aboubakar Faraji aliyekuwa mwongoza sherehe wa siku hiyo
ambapo Dkt Kikwete alikutana na kuzungumza na Watanzania waishio
Uingereza.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uingereza Bw. Hague alipomtembelea ofisini kwake jijini London kwa
mazungumzo Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw.
David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini
London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Duke of York ambaye pia ni
Balozi wa Biashara wa Serikali ya Uingereza HRH Prince Andrew katika
kasri ya Malkia ya Uingereza ya Buckingham Palace jijini London Machi
31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake
Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake
10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Jiji la London
Mstahiki Alderman Fiona Woolf alipomtembelea ofisini kwake Mansion House
jijini London Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau mbalimbali wa biashara na
uchumi wa Uingereza aliokutana nao katika ukumbi wa Chatham House
jijini London Machi 31, 2014.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabishara wakubwa na
wawekezaji wa Uingereza aliokutana nao katika mkutano wa biashara na
uwekezaji katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Jumuiya ya
Madola jijini London Machi 31, 2014