Picha za behind the scene zilianza kusambaa siku chache zilizopita
ambazo zilikua na uhalisia wa hii video itakavyokua,imefanywa na Raymond
Kasoga Amini ali-amplify kuwa video hii nayo imefanyika nje kidogo ya
jiji la Dar.
Bonyeza play kuitazama.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi