Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge.
Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo katika barabara ya TRA eneo la Mwenge jijini Dar leo
Magari yakipishana kwa shida baada ya mti huo kudondoka barabarani kutokana na mvua zilizokuwa zinanyesha pamoja na upepo.
Magari yalilazimika kutumia njia moja kwani eneo hili lilikuwa limezibwa na mti huo uliodondoka kwenye eneo la barabara.PICHA NA PAMOJA BLOG