Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan
Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete
kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani
Muheza
RAIS JAKAYA KIKWETE AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA
By
Edmo Online
at
Thursday, March 27, 2014