Askari wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara,
John Tupa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Dodoma leo Machi 27,
2014. Marehemu ataagwa kwenye viwanja vya Nyerere Dodoma Machi 28, 2014
kabla ya kusafirishwa kwenda kilosa kwa mazishi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.