Mvua ambazo bado zinaendelea kunyesha jijini Dar na sehemu zingine na
nchi ya Tanzania zimeonekana kuleta madhara hasa kwa wakazi ambao
wanaishi kwenye makazi yenye mkondo wa maji,moja kati ya wasanii
wanaotoka kwenye kwenye familia ya Bongo fleva ambaye aliwahi kufanya
taarabu amekutwa na tatizo hili nae ni Babu Ayoub.
Bonyeza play kusikiliza.
Chanzo:millardayo.com
Bonyeza play kusikiliza.
Chanzo:millardayo.com