Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa
wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo
Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani
Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi leo
Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani
yake yaliyofanyika Morogoro.
Makamu wa Rais akiweka udongo kwenye kaburi.
(Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa aliyekuwa mkuu wa
mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mama Katherine Msamati baada ya mazishi yake
yaliyofanyika leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole Baba mzazi wa aliyekuwa
mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mzee Gabriel Tupa, baada ya
mazishi yake yaliyofanyika leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.