skip to main |
skip to sidebar
KUHUSU WIMBO MPYA WA PROFESA JAY NA DIAMOND PLATNUMZ
Hapo awali mtu mzima Daddy (Prof. Jay) aliwahi kutoa picha akiwa studio kwa #P-funk Majani akiwa pamoja na Diamond Platnumz, katika maelezo ya picha hizo Prof alisema tukae mkao wa kusikiliza"kolabo" kali kati yake na #DiamondPlatnumz ingawa hakusema jina la wimbo utaitwaje,
Hatimaye Prof. Jay
ameachia Official Cover litalohusika katika track yake mpyaaaaa
itayokujia hivi karibuni katika masikio yako akiwa kashirikiana na
Diamond Platumz.
wimbo uliyoandikwa kwenye Cover hilo unakwenda kwa
jina la "KIPI SIJASIKIA"
COMING SOON.....................
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi