Kijana
anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha
kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa
Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.Kijana
anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio
tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba zInazoonekana mwishoni kulia.
Video Mpya : MITINJE KAYUNGILO - MALUHO
32 minutes ago