Waziri
wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya
maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na
alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama. (Picha na Adam
Mzee.)
WASSIRA NAYE AWEKWA KITIMOTO NA KAMATI YA MAADILI YA CCM
By
Edmo Online
at
Friday, February 14, 2014
