WANANCHI WAWAKAMATA MAKONDAKTA WAWILI WALIKOUWA HAWAOGI, NA KUWAOGESHA HADHARANI

konda 
Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. 
 
Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa   kile kinachaodaiwa   kuwa  walikuwa  wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa

wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo