Wajumbe
wa mkutano mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga wametegua
kitendawili cha nani kati ya makada 13 atakayevaana na CCM katika
uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala
Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani wake wa
karibu Grace Tendega huku Zuberi Mwachura akiambulia 0 katika
uchaguzi huo...
MWANASHERIA MWENDA KUCHUANA NA MTOTO WA MGIMWA JIMBO LA KALENGA KWA TIKETI YA CHADEMA
By
Edmo Online
at
Friday, February 14, 2014

