MSANII WA FILAMU AZUSHIWA KIFO

nigeria
Siku hizi usambaaji wa habari duniani umekua mkubwa kiasi kwamba unaweza kuleta madhara au mabadiliko ndani ya kipindi kifupi sana, mfano ni hii ishu ya kifo cha mwigizaji Mnigeria Angela Okorie ambae ilitangazwa na vyombo kadhaa kwamba kafariki dunia.

Manager wake aitwae Okechukwu Ifeanyi ameandika kwa kusema ‘hajafa, ninavyoandika msg hii niko nae hapa na ukweli ni kwamba hajafa na wala hana ujauzito, ni mzima wa afya pia….. yuko kwenye utengenezaji wa movie na Tchidi Chikere


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo