Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe, barabara nyingine zimekuwa mwiba kwa watumiaji wa barabara hizo, baada ya kamera ya eddy blog kunasa lori aina ya fuso likiwa limenasa kwenye tope kijiji cha Ujuni wilayani hapo
Lori hili lililobeba viazi limenasa hapo kutokana na barabara hiyo kuharibika kufuatia mvua zinazonyesha wilayani hapo kuharibu barabara
Habari/picha na Eddy Blog Team



