HUU UBUNIFU WA HUYU MCHOMA MAHINDI, NI BABA LAO

Wakati idadi kubwa ya watanzania wakikumbwa na tatizo la ukosefu wa ubunifu, kijana huyu ambaye anafanya biashara ya kuchoma mahindi mabichi wilayani Makete mkoani Njombe ameonesha ubunifu wa kutengeneza jiko ambalo analitumia kwa kuchoma mahindi.

Yeye amechukua karai la bati kisha kuliweka kwenye stuli, tayari mambo yanajipa, anaingiza mijihela kibao wakati wengine wakiwaza watatoa wapi fedha za kununua jiko ili wafanye biashara hii

Hongera sana mdau


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo