ZOEZI ZIMA LA UOKOAJI LILIVYOKUWA MARA BAADA YA MELI YA MV KILIMANJARO II KUWASILI


 MELI YA KILIMANJARO TWO LEO IMEPATA DHROUBA KALI NA KUELEKEA ABIRIA KUHOFIA USALAMA WAO BAADA YA WIMBI KUBWA KUIPIGA MELI NA KISHA INJINI KUZIMIKA ENEO LA NUNGWI,SEHEMU AMBAYO INAMKONDO MKUBWA WA BAHARI NA ILISHASABABISHA AJALI MBAYA YA MV SPICE NA KUUA MAMIA YA WATANZANIA,MELI HII ILIKUWA INATOKEA DSM KUELEKEA PEMBA,AMBAPO IMEFANIKIWA KUTUA SALAMA PEMBA,TAARIFA ZAIDI KUKUJIA
Picha na mdau wetu Chidy Khalifa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo