skip to main |
skip to sidebar
RPC MBEYA AJITAMBULISHA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI, NA KUTOA TAARIFA YA MATUKIO MBALIMBALI KWA MWAKA 2013
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi akizungumza na
waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani) alipowaita kwa
kujitambulisha kwao na kutoa taarifa ya matukio mbali mbali yaliyotokea
kwa kipindi cha Mwaka 2013.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi