Kesi
inayomhusu Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Chadema leo
inatarajiwa kuendelea baada ya kuahirishwa Ijumaa iliyopita ambapo
ilitangazwa kuendelea leo saa nne lakini mpaka sasa saa tano bado
haijaanza.
Hizi ni baadhi ya picha za hali ilivyo nje ya Mahakama kuu kanda ya
Dar es salaam kuanzia kwenye ulinzi mpaka kwa wafuasi ambapo hata hivyo
taarifa zilizotoka sasa hivi zinasema kesi hii imeahirishwa mpaka kesho
Jan 7 2014 saa nane mchana.
Picha kwa hisani ya millardayo.com
