Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu.
Mmoja wa kijana aliyekamatwa na askari baada ya kuleta fujo eneo la mahakama.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo wananchi eneo la Mahakama Kuu.
Wafuasi wa Zitto Kabwe.
Kiongozi
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwahutubia wananchi
waliofika mahakamani hapo baada ya hukumu ya Zitto kuahirishwa mpaka
kesho saa nane mchana..
Wanausalama wakipanga mikakati ya kuimarisha ulinzi eneo la Mahakama Kuu jijini Dar.
Polisi wenye mbwa wakipita eneo la mahakama kuimarisha ulinzi.
Mmoja wa wafuasi wa Zitto akiwa na bendera.
Mwanasheria wa Zitto Kabwe, Albert Msando (kushoto) akitoka mahakamani baada ya hukumu kuahirishwa.
Wanahabari wakitoka eneo la mahakama.
(PICHA NA HARUNI SANCHAWA / GPL)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube