skip to main |
skip to sidebar
MZEE GURUMO AFUNGUKIA SKENDO ZA DIAMOND KUWA NA WAPENZI WENGI
Mayasa Mariwata na Shani Ramadhan
MSANII mkongwe
wa muziki wa dansi Bongo, Muhidini Gurumo ambaye kwa sasa amestaafu,
amefungukia skendo ya kuwa na mademu wengi inayomuandama Nasibu Abdul
‘Diamond’.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni maeneo ya Ilala jijini Dar,
Mzee Gurumo alisema: “Diamond ana nidhamu sana ila vile anavyotamba
jukwaani na kudatisha mashabiki hapo ndipo balaa linapokuja, watoto wa
kike wenyewe wanaanza kujisogeza kwake.
Mzee Muhidini Gurumo.
“Pamoja na skendo za mademu zinazomuandama, siwezi kumshusha thamani,
ana haki ya kujiopolea mwanamke yeyote anayempenda, yeye kama mwanaume
rijali wakati mwingine ni vigumu kujizuia na vishawishi hivyo.”
Chanzo: Ijumaa
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi