VIONGOZI CHADEMA WALIOTIWA MBARONI WAACHIWA KITUO CHA POLISI IRINGA

 Mh Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa habari muda mchache  baada ya kuachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa leo asubuhi na kuhojiwa kwa kosa la kuzidisha muda wa mikutano iliofanyika jana 
wakiwa na viongozi wenzake Mch Peter Msigwa (Mb) na Mh Halima Mdee (Mb) 

 Mh Mbowe akiwaaga wananchi wa Iringa manispaa waliokuwepo viwanja vya Mwembetogwa kabla ya kuondoka na Chopa.
 Mh Halima Mdee na Mch Peter Msigwa (MB) wakiwapungia mikono wananchi waliofika wakati wanaondoka Iringa kuelekea Morogoro kwa Chopa.

 Wapenzi na wanachama wa Chadema wakiangalia viongozi wakijiandaa kuondoka viwanja vya Mwembetogwa manispaa ya Iringa.

CHOPA INAONDOKA.
PICHA ZOTE mnyalu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo