Gari
lilibeba mwili wa Marehemu Mzee Arnold Wifred Nkhoma likiwasili
nyumbani kwa binti yake Changanyikeni, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wajukuu
wa marehemu wakiwa wamebeba Jeneza la Babu yao kuliingiza ndani tayari
kwa heshima za mwisho kabla ya kuelekea Kanisani kwa Ibada.
Baadhi
ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini
kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof.
Alice Wamunza Nkhoma.
Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma, Changanyikeni - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Roy Ledama (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji.
Familia ya karibu ya marehemu.
Kushoto ni mabinti wawili wa Marehemu wakiwa na ndugu zao wakaribu kwenye majonzi mazito.
Vitukuu wa marehemu mzee Arnold Nkhoma.