Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Geita amesema hatomwomba radhi mh. Msindai na ametaka aache
kuvuruga chama kwa kutofuata utaratibu wa chama ktk kuamua mambo yake
hatakama yeye ni wa siku nyingi ktk chama.
Source: ITV
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi