Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe tayari zimeanza ambapo sehemu hii ni jirani na daraja la Ilolo barabara ya Makete-bulongwa-Mbeya ikiwa inamomonyoka hali inayosababisha hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo.Picha na mpiga picha wetu eddy blog.
MAWASILIANO YA BARABARA YA MAKETE-BULONGWA-MBEYA HATARINI KUKATIKA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA
By
Edmo Online
at
Friday, January 17, 2014
