Kutokana
na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe tayari
zimeanza ambapo sehemu hii ni jirani na daraja la Ilolo barabara ya
Makete-bulongwa-Mbeya ikiwa inamomonyoka hali inayosababisha hatari kwa
watumiaji wa barabara hiyo.Picha na mpiga picha wetu eddy blog.