LADY JAY DEE AFURAHIA KUFIKISHA FANS LAKI 2 KWENYE UKURASA WA FB..ATOA DINNER KWA FANS 14

Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili)  Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache waliobahatika, watawawakilisha na wengine. 
Nimeona badala ya watu kumi niongeze wengine wanne wamekuwa 14...(Bonus)  Nashukuru kwa kuendelea ku like page yangu. 1. GENI GENI 2. OBADIA USWEGE 3. MARTIN WAFUALA 4. FRANK NYABILI 5. POPE RAY MBISHI 6. MSAFIRI MSAMI 7. EDWIN EMMANUEL 8. QUADRAH CHARITY 9. ALVEEH CHELSEA BLAQ 10. HASHYME MDETY 11. PATRICK KAPUS KASIRIM 12. STANLEY MCHOME 13. PROSPER DAUD 14. FJ JUMA
Mta inbox namba zenu za simu, ili muweze kupatiwa utaratibu wa jinsi gani mialoko itawafikia... Hongereni na tutaonana Valentines Day


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo