skip to main |
skip to sidebar
IGP MANGU NA NAIBU WAKE WAJITAMBULISHA KWA KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu wakati IGP alipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na uhalifu.Katikati ni Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Mwamini Malemi (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (DIGP) Abdulrahman Kaniki (kulia) na Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Mwamini Malemi wakati IGP alipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa
lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na
uhalifu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki wakati Viongozi hao wa Jeshi la Polisi walipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na uhalifu.Katikati ni Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Bi. Mwamini
Malemi .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mh. Mbarak Abdulwakil akisalimiana na
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki wakati alipokwenda kujitambulisha ofisini kwake kwa lengo la kufahamiana na kupanga mikakati mbalimbali ya kuzuia na kupambana na uhalifu.DIGP.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi